Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Licha ya uchovu wa safari,Tuliambiwa na kocha tucheze chini ya Kiwango kipindi cha Pili tusiwaharibie wenzetu siku Yao. Tumeshangaa sana tulipoambiwa et hii timu ilikuwa kambi Uturuki tulikuwa tunacheka tu kwenye vyumba wakati wa mapumziko. Ila tunaona wanajitahidi sana kwa kupromote timu yao sijui ni kwanini au wana muda mrefu bila mafanikio kwa sababu umati wa watu na jinsi timu ilivyo cheza vitu viwili tofauti Obed Owusu" (Asante Kotoko)*
 
Back
Top Bottom