carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mpendwa wanguNawasalim katika Bwana!
Mpendwa wanguNawasalim katika Bwana!
Waone ma andaeitini kupenda jivika uhenga[emoji23][emoji23][emoji23]nyie subirini muda wenu ufike zilipendwa zenu zitakuwa kwangwaru,sijui kibegi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Jaman jaman,,,muoneni huyu binti[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,,,muongope Mungu wako,,, bora hata mm niseme enzi zetu hz bhana,, na zile suruali za pekosi[emoji124] [emoji124]
Enzi zetu hizo akina ya buyenze ,mzee fenesi hawafahamu utamu wa hizi dansi[emoji125][emoji125]
Hahahah hii mwakaleli moja itakuwaJibu unalo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]unakotaka nipataje sitaji ng'ooHahahah hii mwakaleli moja itakuwa
Kijana, umeiona hiyo tarehe kwenye tangazo?#ThrowBackThursdayView attachment 831096
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 831075
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ankoo [emoji137] [emoji137]Enzi zetu hizo akina ya buyenze ,mzee fenesi hawafahamu utamu wa hizi dansi[emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waone ma andaeitini kupenda jivika uhenga[emoji23][emoji23][emoji23]nyie subirini muda wenu ufike zilipendwa zenu zitakuwa kwangwaru,sijui kibegi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe Huwezi ngwala jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiraniii
Bageshi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Enzi zetu hizo akina ya buyenze ,mzee fenesi hawafahamu utamu wa hizi dansi[emoji125][emoji125]
Nimeipenda hii
Hahahahaha bro bana acha hizo,bagesh mlikosa uhondo dansi za enzi hizoBageshi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Usinchekeshe miye. Afadhali tu nigugo kifo cha Madilu Multi Systeme ....
Kwan hujaiona hio esuti?Nimepitwa na nini kipya hapa mbali na [emoji116][emoji116][emoji116]?
View attachment 831202
Aaaah carba hadi weuweeeeeee mhenga mwenzetu jaman jamanWaone ma andaeitini kupenda jivika uhenga[emoji23][emoji23][emoji23]nyie subirini muda wenu ufike zilipendwa zenu zitakuwa kwangwaru,sijui kibegi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wewe tamba kwa sasa ila kuhengeka utahengeka tu. Na utabakia unajiuliza; miaka imekimbilia wapi jamani? Nakuombea ukue uje uwe mhenga wa ukweli (100+ yrs). Kwa sasa we furahia maisha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahahahaha bro bana acha hizo,bagesh mlikosa uhondo dansi za enzi hizo