Esuti nimeiona ndo maana nimeikwoti. Nashangaa aliyeiweka katimua mbio.Kwan hujaiona hio esuti?
Hawaaayuuuuu uncleee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ankoo [emoji137] [emoji137]
Ana yake huyo mgomvi kwa wakoromije ila mie nimemuona sponsor kule nyuma ya esuti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Esuti nimeiona ndo maana nimeikwoti. Nashangaa aliyeiweka katimua mbio.
Miaka mia daah mpaka mtu unajichokea kuishi na kuomba uchukuliwe tu.Wewe tamba kwa sasa ila kuhengeka utahengeka tu. Na utabakia unajiuliza; miaka imekimbilia wapi jamani? Nakuombea ukue uje uwe mhenga wa ukweli (100+ yrs). Kwa sasa we furahia maisha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]