Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aaah!! Mzee wangu uko sure unaniuliza mm au umekosea kuquote?? Hii ilikuwa ya Numbisa kabsa,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Luke dube kafariki 2007
Najua umegoogle, maana naamini haukuwa na ufahamu mkubwa wa wanamuziki japo inawezekana ulikuwa unapenda nyimbo zake. Sidhani kama utakuwa ulianza hata sekondari
 
Aaah!! Mzee wangu uko sure unaniuliza mm au umekosea kuquote?? Hii ilikuwa ya Numbisa kabsa,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Luke dube kafariki 2007
Daaah huo mwaka nilikua kazin kabisaa baada ya kumaliza masters yangu kule gambosh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*UTOTO Bwana.!*
*Mnacheza Mpira wa Makaratasi, Unapiga Chenga Kibaoo.. Afu Ukifika Golini ili Ufunge Unakuta GOLI Hamna* [emoji16]
*Kumbe Mwenye NDALA zake Ameitwa Kwaoo... [emoji16][emoji16][emoji16]*
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…