Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180809_124939_892.jpg
 
Jana Massa ya jioni nliona mama fulani na mzee wakiingia kwa majani, nami nkafuata kwa umbali wakati walifika hapo kwa majani nkasikia mzee akiambia huyo mama toa haraka tumalizane saa hii watu wasitupate hapa. Huyo mama akafungua handbag akatoa chupa mbili za tusker wakaanza kukunywa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wee kaa hapo na akili zako za 1 GB uji c yuko hapo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahah et hata sekondari ilikuwa bado
Msicheke wala msijisikie vibaya... Kukiri kwetu peupe juu ya uhenga wetu ni faida kwenu kama nasi tunavyo jifunza kutoka kwenu. Leo hii tunataniana na kuitana majina ya hovyo kabisa kwa umri wangu, lakini siku tukikutana utashtuka na kumwaga shikamoo nyingi bila mpangilio... Cha kushangaza zaidi shikamoo lazima iishie na jina la "mzee wa fenesi" huku unaichungulia (sijui ili uone nini?!!) suruali ya kitambaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa maana hiyo tumetengeneza mazingira ya kuheshimiana bila kuogopana.
Numbisa binti yangu, ai noo yuu veri welo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom