[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua Madilu na Dube wameachana siku 69?
Hahahah et hata sekondari ilikuwa badoNajua umegoogle, maana naamini haukuwa na ufahamu mkubwa wa wanamuziki japo inawezekana ulikuwa unapenda nyimbo zake. Sidhani kama utakuwa ulianza hata sekondari
Kama ni gamboshi sawa,,, maana hata miaka mitano anakuwa ameshaiva na hiyo master[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaah huo mwaka nilikua kazin kabisaa baada ya kumaliza masters yangu kule gambosh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me2Nimeipenda hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Msicheke wala msijisikie vibaya... Kukiri kwetu peupe juu ya uhenga wetu ni faida kwenu kama nasi tunavyo jifunza kutoka kwenu. Leo hii tunataniana na kuitana majina ya hovyo kabisa kwa umri wangu, lakini siku tukikutana utashtuka na kumwaga shikamoo nyingi bila mpangilio... Cha kushangaza zaidi shikamoo lazima iishie na jina la "mzee wa fenesi" huku unaichungulia (sijui ili uone nini?!!) suruali ya kitambaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah et hata sekondari ilikuwa bado
True walahiUsiku wa burudani na raha