Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
“I’m showing you my true colours; do not attempt to repaint them.”
Chokoza tu ukipata manundu tutakuletea dawa
Mmmhhh“You say I’m the sun in your world so how could you endure watching me set into another’s arms?”
Hahahahahaha,Ni hilo la kwenu tu mkuu. Mengine yako poa balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahah! Simuoni wa kunipa manunduChokoza tu ukipata manundu tutakuletea dawa
Pyaar habari zako[emoji848][emoji848]View attachment 832024
KUsemaje ngumi zao hazina uzito auHahahahah! Simuoni wa kunipa manundu
TrueWhen everything matters, nothing starts to matter.
Mayunga mti mkavu, balozi wa nchi tano.Aliporudi kutoka kupigana vita vya Amin hakusikika tena. Kuna kipindi ilisemekana alikuwa Nigeria wakati Jenerali Mayunga akiwa balozi huko. Alikuwa mtu mzima na sitashangaa kama atakuwa ameshaRIP.