Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha, wewe jamaa bwana.
Hivi unajua Shafii yule wa King Cross anakua mimi namuona mzee ??? Wale wakina Salim Assas na Wakina Mubarak Abri tulikuwa tumeungana fensi moja..Wanasoma mapinduzi nawaona kabisa madogo.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] una maanisha Wiloles? Maana nyumba ya Abri ilikuwa ina face barabara kuu
 
Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] una maanisha Wiloles? Maana nyumba ya Abri ilikuwa ina face barabara kuu
Hapana bwana kipindi hicho alikuwa na nyumba kule juu Gangilonga. Pale wilolesi alikuwa anakana nyumba ya Marehemu Massasi wa Isimila ambayo anakaa M.T.Huwel sasa hivi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tuna vingi vya kujivunia nchini kwetu

Vingi sana
FB_IMG_1532502830513.jpg
 
Back
Top Bottom