Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8E953C1F-CB3B-4FE1-AFFF-A3D460905D60.gif
 
Misingi mmekuta imeshawekwa. Kuna kipindi ilikuwa lazima kufanya kazi utake usitake. Siyo sasa usharobaro na kuonyesha makalio mitandaoni [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 831970
Kaulimbiu ni "Kazi ni kipimo cha utu" "Uhuru na kazi", "Kilimo cha kufa na kupona"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Uhenga huo mkuu
 
Hahahaha,
Wewe umesoma kipindi cha Salingwa wewe. Mimi nipo Iringa tangia Mkwawa Sec inaitwa Star Steal......Kuna mzee moja hivi Mhaya alikuwa anitwa Mudogo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ushawahi msikia ???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120]
Ni kweli mkuu nikamaliza na Kitemangu. Mkuu wa mkoa ninae mkumbuka zaidi ni mzee Luhanga,na porojo za mkuu wa wilaya Makamba.
Makamba shwaini zake alitukimbiza kwa mguu kutoka Sabasaba hadi uwanja wa Frelimo kumpokea Mandela.
Una mkumbuka mzee Mwabwalwa alikuwa karibu na mzee Kambanyuma?
 
Back
Top Bottom