Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unazitoa wapi hizi mbona kama Leo umeziamlia
 
Nilijua na wewe ni andaeitini kumba ni kizazi cha kati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nisamehe bure[emoji120] [emoji120]
Hahahahaha, wewe jamaa bwana.
Hivi unajua Shafii yule wa King Cross anakua mimi namuona mzee ??? Wale wakina Salim Assas na Wakina Mubarak Abri tulikuwa tumeungana fensi moja..Wanasoma mapinduzi nawaona kabisa madogo.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…