Hahaha wewe mwache tu.Hahahaha! Nimeona...Basi kwa vile yeye mzee anafikiri waliobaki wote viandaeitini.
Nilikuwepo Lugalo kwa miaka 4 na miwili nimemalizia MkwawaHapana bwana kipindi hicho alikuwa na nyumba kule juu Gangilonga. Pale wilolesi alikuwa anakana nyumba ya Marehemu Massasi wa Isimila ambayo anakaa M.T.Huwel sasa hivi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha,Nilikuwepo Lugalo kwa miaka 4 na miwili nimemalizia Mkwawa
Kuwa Sirius bhana sasa dume anavaa mawigi kweli?Mie dume wewe.
Kwa kweliUsikubali kupitwa fika ujionee kwa jicho lakoView attachment 832070View attachment 832074
Mkuu, umeona wapi nimevaa wigi??.. Halafu hata sio issue mie kuwa ke/me[emoji23][emoji23]Kuwa Sirius bhana sasa dume anavaa mawigi kweli?
Wewe tayari umeshatembelea huko mkuu?Usikubali kupitwa fika ujionee kwa jicho lakoView attachment 832070View attachment 832074
Baraka za kutoshaKuhusu nchi iliyobarikiwaView attachment 832095
Enzi za degeruka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Viandaeitini vilivyokuwa vinajifaragua jana eti vihenga njooni hapa mtie neno [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 831961
Uwe Me/ke utapigwa tuuuu,Mkuu, umeona wapi nimevaa wigi??.. Halafu hata sio issue mie kuwa ke/me[emoji23][emoji23]
Power Chaka, Power Vulu Mroma,Pawa Mwanakulya na Pawa Mabula mliwahi kumsikia?
View attachment 831962
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna kipindi ilikuwa ukiwa ukiwa nayo hii wewe ni "digala"
View attachment 831964
Fresh mzee,, mishemishe vp pande hzoKiongozi niaje
Ahahah alinichanganya Huyo mkuu aliesema utapigwa ad uvuke wigi maana kwa jinsi ulvyokuwa unajiamini nikajua we ni me sasa alivyosema wigi tena nikajiulza inakuaje hapa ke anajiamini hakuna wa kumvimbisha humMkuu, umeona wapi nimevaa wigi??.. Halafu hata sio issue mie kuwa ke/me[emoji23][emoji23]