Kwani mwanamke hatakiwi kujiamini??Ahahah alinichanganya Huyo mkuu aliesema utapigwa ad uvuke wigi maana kwa jinsi ulvyokuwa unajiamini nikajua we ni me sasa alivyosema wigi tena nikajiulza inakuaje hapa ke anajiamini hakuna wa kumvimbisha hum
Unagongea na Bugaloo na kishati modo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akiwa ke,huruma itahusika mkuuUwe Me/ke utapigwa tuuuu,
Tena sana......utapigwa kweli.
Unamwona huyu alivyo???Kwani wanaume pekee ndo mwajiamini??
Kujiamini ni Sawa ila sio ifikie hatua ya kumtunishia msuli mwanaume Huyo atakuwa sio bure kuna kitu anajivunia ila sio kujiamini kwa kawaidaKwani mwanamke hatakiwi kujiamini??
Ahahah niliangalia haraka nkajua donatiUnamwona huyu alivyo???View attachment 832107
Kaulimbiu ni "Kazi ni kipimo cha utu" "Uhuru na kazi", "Kilimo cha kufa na kupona"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Uhenga huo mkuuMisingi mmekuta imeshawekwa. Kuna kipindi ilikuwa lazima kufanya kazi utake usitake. Siyo sasa usharobaro na kuonyesha makalio mitandaoni [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 831970
HahahahahaMkuu nimefuta kauli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki sawa...Akiwa ke,huruma itahusika mkuu
Ngoma za wapi hizi
Mishe ziko powa Mungu anasaidiaFresh mzee,, mishemishe vp pande hzo
Ningekuwa mwanamke hayo maneno yako yangekuwa kinyume kabisa.Kujiamini ni Sawa ila sio ifikie hatua ya kumtunishia msuli mwanaume Huyo atakuwa sio bure kuna kitu anajivunia ila sio kujiamini kwa kawaida
Avalon yetu, Kwenda kumuona Chuck Norris, Mario Merola, Maurizio Meri, Richard Chamberline, nk
Basi ntamuua uso uwe kama Donati.Ahahah niliangalia haraka nkajua donati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120]Hahahaha,
Wewe umesoma kipindi cha Salingwa wewe. Mimi nipo Iringa tangia Mkwawa Sec inaitwa Star Steal......Kuna mzee moja hivi Mhaya alikuwa anitwa Mudogo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ushawahi msikia ???
Angalia mambo yasije badilika ukashangaa yanakukuta huko unapigwa ngumi hadi huamini kama ni weweHaki sawa...
Pigaaaa ngumi ya kichwa.
[emoji23][emoji23][emoji23], utakapojikuta unashindwa hata kunipiga kofi.Haki sawa...
Pigaaaa ngumi ya kichwa.
Mkuu hivi unamfahamu Amos Nungu??Fresh mzee,, mishemishe vp pande hzo
Power Sumbawanga, power Kyela ilikuwa damu changa jeshiniPower Chaka, Power Vulu Mroma,