Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha,,,
Marehemu Kambanyuma alikuwa naye wa Gangilonga bwana. Mke wake alikuwa anafundisha Gangilonga Primary...Kuna mtoto wake moja hivi ameoa mtoto wa mama Mashauri wa Wilolesi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu, we gonga likes tu mengine yaache. Kwa wengine this is therapy...tunajiongelesha tu na kujicheka na katika kujicheka humo ndo kuna tiba na mpozo wa fikra!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…