Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahaha!Twende pamoja sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha!Twende pamoja sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] changa la macho[emoji3] [emoji3]Kuwa Sirius bhana sasa dume anavaa mawigi kweli?
Siku hizi umekuwaje Moud[emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] changa la macho[emoji3] [emoji3]
Usafiri wetu ulikuwa baiskeli tu kwetu gari likipita ni la wanajeshi wanaenda vitani kumshikisha adabu IDD AminKama haujatumia usafiri wa mabasi ya "relwe" au hata "kamata" utakuwa bado na uandaeitini kidogo
Mbona uandishi wako wa kitoto kitotoDah hapo umekuwa too much huo umri wa mwanang kabisa
Kama ni yeye kwa sasa yupo KigomaHahaha nilimwona mara ya mwisho mwaka 2006 wakati nimetembelea pale Kleruu Chuo. Nikaambiwa alikuwa anakaa mitaa ile
Unauliza harufu ya dawa hospitali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wewe tayari umeshatembelea huko mkuu?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] hilo swali natamani angeulizwa Yegomasika...Nawe utakubali ninundishwe??
Huu uandishi tu kila mtu na staili yakeMbona uandishi wako wa kitoto kitoto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unamwona huyu alivyo???View attachment 832107