Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mhhh kuna vilema vya aina nyingi sana duniani
 
Hilo hapana asee![emoji23][emoji23]
 
Huyu ni Michuzi au macho yangu ya kihenga yananidanganya? Kwako wewe peleka silaha orijino laivu [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
View attachment 832167

Sidhani kama ni yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mabinti wa siku hizi hawana uvumilivu, akiuona huo mtulinga anakukimbia peupeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…