Dah .....In form two i was given a suspension.
My dad alikua wembe, kaa angeskia nimepewa sus sijui ingekuaje..
Nilienda exile kwa uncle yangu claiming i was sick..
siku ya kurudi nikingoja viboko nikakomboa msee wa boda boda.
Tukaenda Vizuuuri. Tukafika mwenye tulipigana na yeye alianza, akalimwa zake karibu 30 akatoka na mamake..
i was next nikaitwa...
soo confused nikaingia na boda boda guy..
tukaanza kesi, in the middle of kesi principal akauliza..
"what is the name of your boy?!"..
damn na sikua nimemshow.
Msee wa boda akaniangalia na akaangalia principal.nimetense, nasweat tu!!.nasema kwisha sisi..
Huyo msee wa boda aliamka na kofi!! Pah!! Nikaona giza.."Nikulipie fee tena nikusemee jina kijana!"..
Hadi princi akamshow "Thats enough dont kill the boy".......
kwenye uko bro.you are my hero..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahah eti unaisukuma na dereva akiwa ndani au sioUzuri wa tuktuk ni unaeza panda kama huna fare then ukifika destination unaiskuma inaanguka then unatoka mbio.... By the time dere anatoka we ushahepa[emoji23][emoji23]
That is more than trouble sir[emoji1436]♀ *Here comes trouble!!!*[emoji1379]
*Trouble* is when the pastor says "Those who want their businesses to grow should come up front."
Then the owner of the local mortuary stands up! [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1436]♀[emoji1436]♀[emoji1436]♀[emoji1436]♀[emoji1436]♀
Anazikwa Lini Huyu mzee?
I guess tayariAnazikwa Lini Huyu mzee?
Ahah nashuka mapema tuUnapanda gari ya githurai, unapata sticker imeandikwa, "DERE TUANGUSHE TUONEKANE KWA NEWS"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babu wa taifa
Mi pia namkubali sana huyu jamaa, hasa anapowakamata shingoni kuwanyanyua kisha kuwapiga chiniHuyo jamaa nlikuwa namkubali sana enzi hizo anaingia kwa mbwembwe sana watu tulkuwa tunaamini ni uchawi