Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Timu hiyo ndiyo iliyoanza kujipatia bao la kuongoza likifungwa na Vertonghen aliyemalizia mpira wa kona uliochongwa na Cristian Eriksen na kuguswa na Davinson Sanchez kabla ya kumkuta mfungaji aliyepiga kichwa cha nguvu.

Wenyeji walitulia na kusawazisha bao hilo dakika tatu baadaye baada ya Joselu kupiga kichwa cha kuchupia krosi ya Matt Ritchie, akimuacha kipa Hugo Lloris hana la kufanya.

Hata hivyo mshambuliaji kinda wa Uingereza, Dele Alli hakufanya ajizi zaidi ya kuipa Spurs bao la pili katika dakika ya 18 mabao yaliyodumu hadi mwisho wa mchezo na kuiwezesha Spurs kuanza Ligi vema.
 
Newcastle ilipoteza nafasi mbili za kusawazisha katika dakika ya pili ya kipindi cha pili, Mohamed Diame alipiga shuti lililogonga mwamba na dakika nne baadaye Kenedy naye akapoteza nafasi nzuri aliyoipata.

Matokeo benchi Salomon Rondon, aliyenunuliwa siku ya mwisho ya dirisha la usajili akitokea West Bromwich Albion, alikaribia kuifungia Newcastle zikiwa zimesalia dakika tano baada ya shuti lake kumbabatiza Vertonghen na kugonga mwamba.

Mfungaji bora wa fainali za Kombe la Dunia 2018, Harry Kane, aliendelea kukosa mabao katika mwezi Agosti akifikiza mechi 14 za Ligi bila kufunga ndani ya mwezi Agosgti licha ya misimu mitatu mfululizo kuibuka mfungaji bora wa Tottenham.
 
Kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Philippe Coutinho amefanikiwa kupata uraia wa Ureno na kuondoa wasiwasi juu ya hatma yake.

Tatizo la uraia limekuwa likitesa klabu nyingi kutokana na kanuni ya kuwa na wachezaji watano pekee wanaotoka nje ya nchi za Ulaya.

Kutokana na kanuni hizo staa huyo wa Brazil sasa hatahesabika kama mchezaji wa kigeni bali mchezaji anayetoka moja ya nchi zilizo ndani ya muungano wa Ulaya.
 
Kanuni za La Liga zinataka wachezaji watano pekee kutoka nje ya nchi za Ulaya na watatu kati ya hao wawe ni wale ambao panga pangua wana uhakika wa namba.

Mchezaji huyo amepata uraia huo siku mbili kabla ya timu yake kucheza na Sevilla, katika mechi ya Ngao ya Jamii ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa Ligi Kuu Hispania.

Kupata kwake uraia huo unaikoa Barcelona ambayo imewasajili Arthur Melo, Malcom na Arturo Vidal wote wakiwa wachezaji wa kutokea nje ya Ulaya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka kama vile alivyonifanyia ni vizuri...Wani dei kimdabuo na shogako kinawahusu wallahi ...mane lavuzi mi ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula izi mai homu...Na nikiingia kwenye iginoa listi kosa ni lako
 
Dah! Jamaa kazinduliwa kiaina. Ila tu asije akapotea kama yule mwingine bae wa uzi wetu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kila mtu na bahati yake aisee...
Yego. Nimeona like yako hapa. Hivi utazinduliwa lini? Siku ukizinduliwa na prof, binti mpole au kale kengine kasikopenda Wasukuma kuna mhindi hapa anauzaga mbuzi mzima mzima aisee nitajitosa $300 ninunue kabisa mzima mzima nipambane naye peke yangu mpaka kieleweke [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…