Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unacheka kama vile alivyonifanyia ni vizuri...Wani dei kimdabuo na shogako kinawahusu wallahi ...mane lavuzi mi ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula izi mai homu...Na nikiingia kwenye iginoa listi kosa ni lako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro siku hizi mchokozi sana sijui ukoje
 
Yego. Nimeona like yako hapa. Hivi utazinduliwa lini? Siku ukizinduliwa na prof, binti mpole au kale kengine kasikopenda Wasukuma kuna mhindi hapa anauzaga mbuzi mzima mzima aisee nitajitosa $300 ninunue kabisa mzima mzima nipambane naye peke yangu mpaka kieleweke [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie wa miaka ya 90's kupanda juu ni ngumu kuzijua hizo dawa, zilikuwa zimeondolewa ila kwinini ya sindano iliendelea kidogo.
Nyie dawa zenu ni (Mungu anisaidie nife bila kuzinywa) Mseto...
Waambiee hao andaeitin khaa wabishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameikataa ofa ya kuinoa timu ya Taifa ya Argentina, akisema mengi yanayosemwa kuhusiana na suala hilo.

Guardiola amekuwa akitajwa kuwa anastahili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Jorge Sampaoli aliyejiuluzu baada ya kushindwa kuivusha Argentina hatua ya 16 bora ya fainali za Kombe la Dunia.

Rais wa Chama cha soka Argentina, Claudio Tapia, alisema kutokana na kuondoka kwa Sampaoli chama hicho kimewateua Lionel Scaloni na Pablo Aimar, kuwa makocha wa muda wa timu ya Taifa.
 
Ninasikitika kuona ninahusishwa na kuwa Kocha wa Argentina, bahati mbaya mimi sijazungumza na yeyote kati ya viongozi wa Chama cha soka, nashangaa mmoja kati ya viongozi amesema wanashindwa kunifuata kwa kuwa mimi nitahitaji fedha nyingi za mshahara tuseme wao wanajua mshahara ninaolipwa hapa?,” alihoji Guardiola.

Kocha huyo yupo katika mwaka wa tatu wa kuinoa Man City, akiwa tayari ameipa ubingwa wa Ligi Kuu England na kuifikisha katika robo fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya ambayo ni hatua ya juu kabisa kufikia na timu hiyo.
 
Baada ya kuhisi watashindwa kumpata Guardiola, Tapia amewaorodhesha makocha wa kujadiliana nao kuhusu kupewa jukumu hilo kuwa ni Kocha wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino, yule wa Atletico Madrid, Diego Simeone na kocha wa River Plate, Marcelo Gallardo ili mmoja wao amrithi Sampaoli, atakayepewa kazi hiyo atatangazwa Desemba mwaka huu.
 
Mshambuliaji wa Chelsea, Michy Batshuayi ameshindwa kurejea katika Ligi Kuu England baada ya timu zote zilizokuwa zikimuwania kumsajili kushindwa kukamilisha uhamisho huo hadi dirisha la usajili England lilipofungwa Alhamisi usiku.

Kutokana na jambo hilo mshambuliaji huyo amelazimika kujiunga na Valencia ya Hispania kwa mkopo wa muda mrefu, kumpisha Jorginho aliyetua Stamford Bridge kutoka Torino.
 
Batshuayi alikuwa akicheza kwa mkopo kwenye klabu ya Borussia Dortmund, msimu uliopita na kocha mpya wa Chelsea, Maurizio Sarri, amependelea kuwatumia Alvaro Morata, Olivier Giroud na Tammy Abraham katika safu ya ushambuliaji.

Batshuayi alijiunga na Chelsea mwaka 2016 akitokea Marseille ya Ufaransa kwa Pauni 33 milioni lakini alishindwa kabisa kufanya kile kilichotarajiwa na kumfanya Kocha Antonio Conte, kumtegemea Diego Costa pekee katika ushambuliaji n ahata alipokuwa nje alimpanga Eden Hazard kuongoza mashambulizi.
 
FB_IMG_1533900625840.jpg
 
Katika msimu wake wa kwanza alianza mechi 19 kati ya mechi 20 mchezo mmoja tu akitokea benchi na alifunga mabao matano.

Kuondoka kwa Costa aliyerejea Atletico Madrid ilikuwa nafasi nzuri kwa Batshuayi, kujihakikishia nafasi katika kikosi cha Chelsea lakini katika mechi 12 alizocheza hakufunga hata bao moja wala kusababisha jambo lililomkera Kocha Conte na kuamua kumuuza kwa mkopo.
 
Back
Top Bottom