Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nwa baby [emoji126][emoji126]

Cc😡Jakitoo
IMG_20180811_201119.jpg
 
Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.

*1 Yohana 4:18 panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu..."*

*Lakini Yohana 4:18 tunasoma, "Kwa maana umekuwa na waume watano , naye uliye naye sasa siye mume wako."*


[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MKE MTARAJIWA AKAZIMIA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom