Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dawa zao tamu yaani kama umeishiwa mlenda ugali umekudodea waweza kusindikizia matonge kadhaa [emoji16][emoji16][emoji16]Nyie wa miaka ya 90's kupanda juu ni ngumu kuzijua hizo dawa, zilikuwa zimeondolewa ila kwinini ya sindano iliendelea kidogo.
Nyie dawa zenu ni (Mungu anisaidie nife bila kuzinywa) Mseto...