[emoji23]YebheOyo niga?
Nimeshakumbuka huyu ni ZIMWI wa majini[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe unayetuwekea wanyama wa kila aina kutoka kwenye mbuga zetu kama humfahamu mi kweli nitaweza mkuu? Mi nimeona picha tu nikaweka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iandae hiyo $300 aisee. Ngoja nitakaomba haka kasikopenda Wasukuma kanizindue, sasa sijui kama kataelewa somo; Maana nako kanaonekana kabishi hako! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kuzinduliwa kuwe kuzinduliwa kweli siyo gheresha ohoooo...Iandae hiyo $300 aisee. Ngoja nitakaomba haka kasikopenda Wasukuma kanizindue, sasa sijui kama kataelewa somo; Maana nako kanaonekana kabishi hako! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzinduzi coming soon.....
New id loading......
Huyu wa leo ndo katumia id mpya...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzinduzi coming soon.....
New id loading......
Shida ya Yego anaweza asitokee kwenye uzi wenyewe ukabaki unashangaa tu,huyu andaeitini haaminiki
Kuzinduliwa kuwe kuzinduliwa kweli siyo gheresha ohoooo...
Tena huyu mbuzi nitamkata nusu na nusu nitakuletea Fedex overnight...
Jiandae....[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Safi mzima,Salama Moud za kwako?
Kuzinduliwa kuwe kuzinduliwa kweli siyo gheresha ohoooo...
Tena huyu mbuzi nitamkata nusu na nusu nitakuletea Fedex overnight...
Kabisaaa poti....Mambo yakishakuwa moto nitakumwagia address yangu hapa ili iwe rahisi ku deliver huyo nusu mbuzi! Lazima siku hiyo tumalizie na ki BBQ bana! [emoji1]
Jiandae....
Siku hizi kamepunguza uoga. Kanakua...Shida ya Yego anaweza asitokee kwenye uzi wenyewe ukabaki unashangaa tu,huyu andaeitini haaminiki
Shida ya Yego anaweza asitokee kwenye uzi wenyewe ukabaki unashangaa tu,huyu andaeitini haaminiki
[emoji23][emoji23]sichomoi mimi ama wewe?Aisee safari hii huchomoi! Nishajiandaa vya kutosha! [emoji123][emoji1]
Hakaaminiki hakaSiku hizi kamepunguza uoga. Kanakua...
Zamani hata haya maongezi ya kuzinduliwa tu kangekuwa kameshatimua mbio
Sasa hata prof akijichanganya akakaribisha tena kwenye lile darasa si ajabu kakazuka laivu
Ngoja nikajipange,nitakuzindua siku isiyo na jina we subiri tu[emoji23]Hakuna excuse safari hii, embu lianzishe Basi! [emoji23][emoji23]