[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 833139
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka mama alinipeleka hospitali (bahati ni kwamba nyumbani na hospitali ya wilaya tulitenganishwa na seng'enge) tukapima vizuri ile ya kuchanja kidole halafu damu unapaka kwenye ki glass. Kumbe nina malaria, tukahamia benchi lingine. Ile tunasogea tunafuata mlango wa chumba cha sindano, baba mkubwa (rip) alikuwa ameandaliwa kwa ajili ya kunikaba ili nichomwe sindano,mimi nikashituka.
Baba mkubwa akaniletea peremende, sio kawaida yake, nikasema tu "mfwile lilino bhibhi gwanghu ulikughu bhikungogha... "
Ghafla nikanyamaza nikaomba niende chooni (huko kwenye chumba cha sindano ni kilio kimetawala cha watoto na majiko ya stovu ya kuchemshia sindano yanasikika kwa nguvu) nikakojoe, mama (rip) akagoma,nikavua kaptula na chupi nikamuomba anishikie kama haniamini. Yaani hapo ni mimi,shati na fenesi langu nimelishikiria na mkono wa kushoto nalia. Watu wakasema mwache akakojoe...
Ile kuniruhusu tu....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mama alinikuta nyumbani nimejifungia ndani.
Na uzee wangu huu, sipo tayari kuchomwa sindano ya aina yoyote ile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee kwan wakiwowa ndo ndo dawa ya upole?watu wanapigwa mafenesi ya maana bado micharukoNa wewe siku hizi ni mpole sana,sijui ukoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Au wamekuwowa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiran ana shidaTena juzi juzi hapa naona alikorofisha something nikasikia eti ni afadhali kioze kuliko kumpa jirani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Natikisa dawa kabla ya kutumika,eee kwan hujui sheki wello bifo usiUnakimbia kimbia nini sasa? Linatimbwilika timbwilika na kupepetuka pepetuka ukikimbia? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Kheeee broo brooo ni wewee au mwingineeeee,misamiati haikupitagi humu imekuwajeeeeeeOooooh!
Kumbe ndo maana yake eeeh?
Asante kwa kunifumbua macho...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ningendako nimeweza kwa uc browserView attachment 833042
[emoji23][emoji23]sichomoi mimi ama wewe?
Shida yako wewe waweza nitia aibu mbele ya wana jf bhana,hukawii kulala mbele
Ngoja nikajipange,nitakuzindua siku isiyo na jina we subiri tu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule sports ni motoo kila uzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HATUPOI
Wewe kwako ni tofauti maana huu upole si kawaida kabisaa aliyekuwowa kakuweza[emoji23][emoji23][emoji23]maana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee kwan wakiwowa ndo ndo dawa ya upole?watu wanapigwa mafenesi ya maana bado micharuko
Jizazi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natikisa dawa kabla ya kutumika,eee kwan hujui sheki wello bifo usi
Yaani imebidi nifuatilie hii comment,nimebaki nasema hiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe......Kheeee broo brooo ni wewee au mwingineeeee,misamiati haikupitagi humu imekuwajeeeeee
Uzee umeanza kunielemea. Sifuatilii mambo ya humu kivile tena; na hata nikifuatilia sikawii kusahau. Ilikuwa enzi zile bana Big Baba, Uniq na Mchina wanapapurana kwa Baby S. Huku bro wangu kijana mpole naye anashusha parabozi za kufa mtu akipambana na Mzee wa Ini kwa Goddess. KK naye kakaba na pete zake za visoda binti akizubaa tu anamuwowa. Mabinti wakichuana kuwania Umama Vivi...Those were the good ole days...Kheeee broo brooo ni wewee au mwingineeeee,misamiati haikupitagi humu imekuwajeeeeee
Kila enzi na zama zake tushasahau huko wengine,nainjoy each moment ndan ya uzi huuUzee umeanza kunielemea. Sifuatilii mambo ya humu kivile tena; na hata nikifuatilia sikawii kusahau. Ilikuwa enzi zile bana Big Baba, Uniq na Mchina wanapapurana kwa Baby S. Huku bro wangu kijana mpole naye anashusha parabozi za kufa mtu akipambana na Mzee wa Ini kwa Goddess. KK naye kakaba na pete zake za visoda binti akizubaa tu anamuwowa. Mabinti wakichuana kuwania Umama Vivi...Those were the good ole days...
Yaonekana sikuielewa comment mama; na au nilikurupuka kujibu. Kwa sasa sina hata fununu we na shogako mnaongelea nini. Kama imetokea nimemkwaza mtu samahanini [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Yaani imebidi nifuatilie hii comment,nimebaki nasema hiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe......
Ngoja aje[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani imebidi nifuatilie hii comment,nimebaki nasema hiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe......
Ngoja aje[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujamkwaza mtuYaonekana sikuielewa comment mama; na au nilikurupuka kujibu. Kwa sasa sina hata fununu we na shogako mnaongelea nini. Kama imetokea nimemkwaza mtu samahanini [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Sikuelewa/Nimekurupuka labda [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Kheeee broo brooo ni wewee au mwingineeeee,misamiati haikupitagi humu imekuwajeeeeee