moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ziendelee[emoji3] [emoji3] [emoji3]Likes zinaendelea kutolewa
Ziendelee[emoji3] [emoji3] [emoji3]Likes zinaendelea kutolewa
Acheni izi habari jamani wengine sisi ni patupu, yaani pangu pakavuWeekend inaendelea hivi[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 833240 mpakato wa wawili wawili
Hana uhenga wowote huyu,, ni andaeitini sema mikwara mingi tuMi nashangaa anajiita muhenga alafu muoga kweli
Sijawai Kuona wahenga waoga
Ukumbi gani jirani, Sunni, Anatoglou Gerezani?[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi na wewe tena jirani, ondoa shaka kabisa! [emoji1][emoji1]
AiseeAcheni izi habari jamani wengine sisi ni patupu, yaani pangu pakavu
Amani ya usiku iwe nasi...Usiku uwe mwema kwenu nyote
Amin, Ametukuka Mwenyezi MunguTumshkuru Mungu kwa jmosi nzuri kabisa inayoishia
Kwa neema zake Allah,, tuseme Insha AllahMungu akipendab tutakutana kesho humu ndugu zangu