myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
00:06
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti sunni parking itakuwa shidaNadhani Gerezani itapendeza zaidi, Anatoglou hapo naona siku hizi wamezungusha mpaka ukuta. Hakuna nafasi pale, Sunni hapana; Parking zitakuwa shida kidogo! [emoji23][emoji23]
Hahaha dah yaan huyu mzee shida tupuUsinitege familia inanitegemea. Si hivyo tu kuna limmama nalifukuzia, nikilipata hilo kujilipua ruksaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utawezaje kuishi kwenye mazingira ya aina hiyo nyakati hizi ambazo idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume? Wanawake hawa ni lazima tuwe nao maana hakuna namnaAcheni izi habari jamani wengine sisi ni patupu, yaani pangu pakavu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nadhani Gerezani itapendeza zaidi, Anatoglou hapo naona siku hizi wamezungusha mpaka ukuta. Hakuna nafasi pale, Sunni hapana; Parking zitakuwa shida kidogo! [emoji23][emoji23]
AminIwe siku ya furaha na upendo
Yawezekana maana siku haziwezi fananaNo nahisi leo bro mood haipo vizuri hope yupo poa
Tezi dume inakunyemelea ama?We mzee Jiangalie
Parking ya nini??[emoji2]Nadhani Gerezani itapendeza zaidi, Anatoglou hapo naona siku hizi wamezungusha mpaka ukuta. Hakuna nafasi pale, Sunni hapana; Parking zitakuwa shida kidogo! [emoji23][emoji23]