Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Who should be blamed when a Leaf falls from the tree;
Is it the wind that blew it away, Or
the tree that let it go, Or
the leaf itself who grew tired holding on?
Life unfolds SO MANY misunderstandings each day,
It is upto us to -
Solve it, Leave it or Live With It.
 
.
IMG_20180812_045744_846.jpeg
 
KISA CHA FUNDI MWASHI

HAPO KALE alikuwapo bwana mmoja akiitwa Nzila. Kazi yake ni Fundi Mwashi. Siku moja akiwa anaendelea na shughuli zake za ujenzi, alidondokewa kichwani na kipande cha bati. Damu nyingi iliyomtoka ilipelekea akimbizwe haraka hospitalini ambapo baada ya kufanyiwa utibabu kama desturi, alipewa dawa kadhaa za kupoza maumivu na kuruhusiwa.

Siku hadi siku, badala ya hali kuimarika, ilizidi kudhoofika. Kila uchao Fundi Mwashi alilalamikia maumivu makali kichwani, akiamini kuwako na kipande cha bati kilichobaki baada ya upasuaji. Walakini, hata waliporejea kumwona tabibu, aliwahakikishia kwa yakini kuwa hakukubakiwa na walao vumbi la bati kichwani mwa mgonjwa, kwani alihakikisha amemsafisha na kumfunga vema kabla ya kumruhusu. Ungetegemea majibu ya daktari yamfariji mgonjwa na kumwondoshea hofu moyoni, lakini wapi. Ule msemo wa 'uongo wa Mganga nafuu ya Mgonjwa' haukufua dafu. Badala yake, majibu hayo ndiyo kama yaliamsha hisia mbaya kiasi cha kuzidisha maumivu kichwani. Fundi Mwashi akawa mwele bin taaban, yu samba maji hajiwezi. Chakula hakiliki, kazini hakwendeki. Kufikia hapo, familia ikakata shauri kwenda kwa tabibu mwingine badili ya yule wa awali.

Baada ya kusikiliza malalamiko ya mgonjwa, na kujionea mwenyewe udhaifu wa hali, tabibu mpya alimfanyia upasuaji mwingine mdogo kichwani. Cha ajabu, hakuna alichokuta. Baada ya kumshona na kumfunga, alimhakikishia kwamba hakukuwa na kipande cha bati kama anavyohisi. Kwa hivyo, alimnasihi tu akatumie dawa alizopatiwa mpaka maumivu yatakapopoa. Siku hiyo sasa, baada ya kurejea nyumbani, Fundi Mwashi ndiyo hakulala kabisa kwa maumivu. Hila zote za wanafamilia kumliwaza na kumfariji mgonjwa hazikuzaa matunda.

Maradhi yanapoingia ndani ya nyumba kupitia mlangoni, subra hutokea dirishani. Kwa sababu hiyo, baadhi ya ndugu wakaanza kushikana uchawi huku wakishinikiza mgonjwa akapungwe mganga wa kienyeji. Kwakuwa rai hiyo haikupita, mgonjwa akapelekwa hospitali ya ngazi ya juu kuonana na tabibu bingwa.

Kilicho mstaajabisha Tabibu huyo aliye bingwa, baada ya kumsikiliza mgonjwa, ni pale alipotajiwa orodha ya madaktari wazuri waliomhudumia. Ni ugonjwa gani huo hata wakashindwa kuuona?
Basi, baada ya kuwaza na kuwazua, Tabibu alimwingiza mgonjwa wake katika chumba cha upasuaji. Huko, hakumaliza hata dakika ishirini, akawa amekwisha kumaliza kazi yake, akamshona na kumfunga dawa. Kisha, huku akimkabidhi kipande kidogo mno cha bati kikiwa na damu, alimwambia mgonjwa: "Hiki ndicho kilichokuwa kinakusumbua. Sijui tu ilikuwaje hata madaktari wote hao wakashindwa kukiona."

Kusikia hivyo, Fundi Mwashi alifurahi mno. Na hata aliporejea nyumbani, ndani ya wiki moja tu alianza kupata ahueni. Mwili uliokuwa umekonda kwa kudhoofu hali, sasa ukaanza kunawiri na kutononoka kwa kasi ya uchipuaji mchicha. Na katika hali ya kustaajabisha, hakulalamikia tena maumivu ya kichwa. Ikahesibiwa kuwa amepona.

Uvumi juu ya kupona kwa mgonjwa huyo, uliwafikisha madaktari wale walioshindwa hapo awali, hospitalini kwa Tabibu aliyemponya mgonjwa ili wajue walipokuwa wakikosea. Baada ya kumsaili, aliwajibu kwa kuwaambia: "Hamkukosea hata kidogo katika vipimo vyenu. Hakubakiwa na japo chembe ya bati kichwani tangu awali. Aliponitajia orodha yenu madaktari mliomhudumia, sikuwa na shaka nanyi, nikagundua kuwa aliukuwa akiugulia maumivu ya hisia. Basi hapo, nikachukua kijibati kidogo na kukipaka damu, kisha baada ya dakika kadhaa za kumhadaa kuwa nimemfanyia upasuaji, ndipo nikamwonesha kipande kile cha bati. Hapo akafurahi na kufarijika kuwa amepona."



FUNZO: Si kila alalamikaye kuwa na tatizo, huwa nalo. Wengine wanaumwa hisia tu. Kwa hivi, matatizo yanahitaji jicho la tatu katika utatuzi.
 
Stay away from what brings you down. It's simple to read, isn't it? The sad thing is that most of us cling onto what makes us miserable thinking that we just can't let go. We take away our own power by giving into the power that whatever this unhealthy, negative thing is and how much power it holds over us. The truth is, we do have a choice. We always have a choice. If we can't do it on our own, we have the choice to reach out to someone who can help. Don't be the prisoner of your circumstances. Remember your power to change your circumstances and make the changes that you know you need to make. Start now.
 
[emoji560][emoji3][emoji120] [emoji257]

6+3=9 but so does 5+4, 7+2. It’s same destination but different combinations and approaches. Respect different approaches and opinions.[emoji257]

If we fail to understand the lesson at the right time...
life makes us understand the same lesson at the wrong time...[emoji257]

[emoji257] Good Morning [emoji257]& Make It A Great Day Ahead Full Of Joy & Happiness. [emoji106][emoji3][emoji120][emoji257]
 
_*Happy Sunday,*_
[emoji837][emoji837][emoji837]*

*MAKE A DIFFERENCE:*

*When you throw a stone in a still-water lake you never know how far the ripples may go.*

*So often, when we are facing the wall, some angel in human form pushes us, inspires us, leads us & shows us the way. There are times when we don’t trust our own abilities, but during these times the words of encouragement from some human soul propelled us forward. Today we have reached where we have reached because at some stage of our life somebody believes in us much more than we believe in ourselves.*

*Now it’s our turn to be that for the world, what the world has been to us. Till they find self-trust, we can be their trust. Till they attain self-motivation, we can be their motivation. Till they achieve belief, we can install that belief. We can be a propelling force, if not to all, at least to few lives that cross ours.*

*So, let’s resolve that we will take every opportunity to show others that they are better than they think they are. Simple gestures from us, TIMELY ENCOURAGEMENT from us, A PAT ON THE BACK, WORDS OF APPRECIATION... THEY TAKE LITTLE OF US & yet they can make all the difference to so many out there in the world.*

*[emoji257]Wishing you most & more.*[emoji255]
 
[emoji2]
Begin everyday by asking, 'Where can I improve today?'

End everyday by introspecting , 'Where did I improve today?'

- Have a Beautiful & Happy day [emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji4][emoji106]
[emoji257]happy sunday[emoji257]
 
Back
Top Bottom