Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

982061E9-EE2F-4F99-A8D1-836DD08C2A9F.jpeg
 
Huwezi amini huyo jamaa, Scottie Pippen yuko juu ya mawe. Hela yote ya NBA kwishiney, sijui alikuwa ana invest wapi hela yote hiyo! [emoji23][emoji23]
Are you serious? Mbona namwonaga katakata nadhani yuko OK. MJ hakuwashirikisha kwenye baadhi ya investments zake? Mwenzao bilionea...

Ila kwa hawa ma athlete weusi wala haishangazi. Hawana nidhamu na pesa na wengi wao elimu hakuna. Baadhi yao hata kuandika sentensi iliyonyooka hawawezi. Wanapata hizi hela wanaoa wanawake wazungu wanaajiri wahasibu na financial advisors makanjanja wanaibiwa na kufanyiwa mainvestment ya hovyo mwisho wa siku wanaishia kuwa hoi. Mike Tyson, Warren Sapp, Allen Iverson, Chris Tucker, MC Hummer...and the list goes on and on...Sad !!!
 
Nimeziona kapo hapa dah! Mwanaume kafungasha msambwanda wa kufa mtu halafu mwanamke hata flat screen ina unafuu. Total mismatch yaani dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dunia haina usawa
 
Back
Top Bottom