myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Warren Sapp alifile for bankruptcy mwaka jana/juzi nadhani na akaregister pea 250+ za snickers kama mojawapo ya assets zake. Ana madeni ya mamia ya mamilioni. Kama hiyo haitoshi na kibarua chake cha Football analyst kwenye TV kikaota nyasi baada ya ishu hizi za kutandika wanawake makofi kumwibukia...Yuko hoi mno...MJ yule ni moto, ni bilionea mwenzao! Allen Iverson ndio hoi kabisa, sikujua kama Warren Sapp na makeke yote yale nae ameishia huko huko. LBJ pamoja na kwamba hakwenda College yuko smart. Warren Buffet anampa maujanja ya jinsi ya kuinvest hela yake!
😂😂😂😂😂😂Jirani uko deep sana dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Safi kabisa. Huonekani Prof. Wanafunzi wako wanazagaa hovyo hovyo tu hapa [emoji16][emoji16][emoji16]Habari yako boss!
Nipe kahawa yangu shwaiiini...[emoji173]View attachment 833805
hamna kitu....
Nani mfungajiManC 1 Ars 0
#Bring Jiniazi Wenga back [emoji16][emoji16][emoji16]ManC 1 Ars 0
😂😂😂#Bring Jiniazi Wenga back [emoji16][emoji16][emoji16]
Kila mtu anajitofautisha..
Harusi ya mtatiro CUF
Usiku unakaribishwaJioni inaaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]