Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndivyo hivyo. Kuna sekta hata moja ambayo tumeweza kuianzisha sisi wenyewe na tukaiendesha kitaalamu kabisa inavyotakiwa kuwa? Kila kitu ujanja ujanja. Hatuna attitude sahihi. Hatuna uzalendo...

Na kwa attitude hii maendeleo tutabakia kuyasikia kwenye bomba tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…