Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

My last experience with Dreamliner ni kwamba kuna watu wanasafiri kwa janja janja wakati hili ni jasho la maskini ambalo limetumiwa kurahisisha usafiri wa wenye nacho!! . Nilicheck in KIA tarehe 4 August, mizigo yangu ikatagiwa BKZ lakini nilikuwa transit Mwanza! Nikapewa boarding pass ya siti no 26 F. - - Nilipofika 26 F nikakuta mbaba mkaka kajituliza pale, nikajua probably siti yake ni 26 E ila anajiona hawezi Kaa katikati kwa hiyo anataka kuniangaliziamo yani that mi nikae katikati. Huku na kule wa 26 D Akakaa nikawa kati nimesimama. Nikamwambia kaka naomba siti yangu nikae.. anakazana nikae katikati, mara muhudumu akaja, ananambia “madam kaa katikati “ like commanding me! Nikamwambia unaniomba au unaniforce? Huyu ana nini why asikae katikati na mimi hii ni siti yangu? Sikuamini jibu la yule kaka eti “Hii ni siti yangu nimetoka nayo waulize hata wengine “ . Nikamwambia kaka hii sio Kandahar trans, lete boarding pass yako tuone for the first time ndege igonganishe siti! Akagoma kutoa! Ghafla nikasikia mwenye siti yake 26 E anaomba nimpishe. . Muhudumu akanambia madam nisikilize mimi, hama hiyo siti kakae kwingine. . Nikasema we dada unanijua robo!! Yani mi mwenye siti nianze kudanga empty seat? Huyu siti yake ni ipi? Eti ni 26 F, how come ionekane that iko empty KIA? Eti ni system error!! Nikasema pumbavu msinitanie! Error? Hivi what if ni international flight mnaingia eti system imegonganisha siti nani atashuka? Hii sio city boy eti mtu atakaa kwenye godoro a beg! . Kaka toa boarding pass tuione, haitoki. Mwisho kaja muhudumu wa kiume akamtoa, nikakaa na hasira zangu. So probably that guy alikata ticket only mpaka KIA but kwa dili anaunga mwanza. . Kufika mwanza naambiwa I have to claim my baggage again! Yani hadi transit ndogo ivo ya kuhamisha mizigo from KIA aircraft to BKZ hamuwezi? Nikawauliza how many tags za same luggage ntakua nazo? . Kiboko ni mmama alikua na extra kgs akazilipia Dar, kufika Mwanza anaambiwa unalipa tena hii ni ndege nyingine [emoji23], eti from Dar umelipia Dreamliner, hapa unabadili to bombardier unalipa tena! Kidogo afe! Mama alipiginaa mwisho hakulipa! . Kuja kutucheck system zote hazifanyi kazi, mnapanga hapa, mnatolewa mnapanga hapa!

Yaani story kama hizi zinatia hasira sana! Kwa hiyo si ajabu huyo Bi Dada (Air Hostess) alishachukua cha juu kutoka kwa huyo abiria. Halafu unategemea kweli na sisi tuendelee? [emoji6][emoji6]
 
Huu ubuyu sijauelewa kabisa
Mane anakusalimia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom