mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tumeshapoa weekend tunapata[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] za kupoza akiliSafi mkuu,,, mambo vp? pole na majukumu
Tumeshapoa weekend tunapata[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] za kupoza akiliSafi mkuu,,, mambo vp? pole na majukumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Prof. Hili ndio somo gani? Mbanduano 101? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Gr8 miss u sanaSijambo? Vipi habari za masiku?
Kidato cha pili mkuu wimbo huo x wangu naona naye akiusikia atakumbuka mengiUmekumbuka wapi mkuu
Missing you tooGr8 miss u sana
Hahaha mzee wa liver bhana,,, kwan bado mnawasiliana na huyo ex wakoKidato cha pili mkuu wimbo huo x wangu naona naye akiusikia atakumbuka mengi
AsanteMissing you too
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbanduano 302Prof. Hili ndio somo gani? Mbanduano 101? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbanduano 302
Like sand through hour glass this is days of our lives
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbanduano 302
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Lugha maarufu enzi zileeee.....;*
1. Lete Tulivyokaa
2. Muongeze 5 huyo
3. Mbona bia haziendi?
4. Usiulize, wee Ongeza tu
5. Mbona jikoni hawatusikilizi??
6. Aah,tunahudumiwa na dume?
7. Nimesema Mbuzi mzima!!
8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?
9. Kuna watu wanabusu bia!
10. Hamishia opener hapa hapa?
*Zama hizi sasaaa.....*
1. Waruke wote, sijaja nao mimi
2. Mmh, kaongeza nyingine?
3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?
4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki
5. Tumekula majumbani kwetu
6. Nitanunulia kaunta mwenyewe
7. Mna kongoro?
8. Lete supu tu bila finyango kwani shingaa?
9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya
10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua
11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...
[emoji23][emoji23][emoji23]🕺🏼🕺🏼🕺🏼
Hahaha aiseeMdada anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anasikia hodi,kufungua mlango akakuta ni jirani yake ibra ambae ni kipofu,akamkaribisha ndani akakaa, dada akavua ile kanga akabaki uchi akainama akaanza kujipaka mafuta akijua ibra hamuoni na mazungumzo yakawa hivi..:VP IBRA MBONA UMEPOTEA YANI HUONEKANI SIKU HIZI....IBRA: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA! Unajua kilichotokea? nirushie jero fasta nikumalizie part tw
Hahaha ndio hivyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]