Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

....
20180812_204925.jpg
 
Hahaha mzee wa liver bhana,,, kwan bado mnawasiliana na huyo ex wako
Mkuu aliolewa na muingereza mmoja kichaa akamzalisha mtoto mmoja wakatibuana aliporudi mzungu kaja juu anataka mtoto wake nikamwekea advocate akashinda kesi mtoto akabaki naye mpka sasa habari mbaya ana kansa ya ziwa nampa kampani ya kutosha sana japo mambo ya mgegedo siko naye kabisa
 
Hahahaha mkuu umenichekesha sana halafu ni binti wa kisukuma cheupe dawa nilifungua njia mwenyewe
Ndiye ulimuoa au uliharibu tu halafu ukaenda zako? Cheupe dawa wa Kisukuma hapo ulitaka kutuharibia ng'ombe zaidi ya 50. Ukinitibua naanza kukudai fidia ya mahari ohooo [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom