Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiye ulimuoa au uliharibu tu halafu ukaenda zako? Cheupe dawa wa Kisukuma hapo ulitaka kutuharibia ng'ombe zaidi ya 50. Ukinitibua naanza kukudai fidia ya mahari ohooo [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Nilimpa baraka za kutosha na maujanja ya sita kwa sita [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi Uniq alishalipa deni lake
 
Mkuu aliolewa na muingereza mmoja kichaa akamzalisha mtoto mmoja wakatibuana aliporudi mzungu kaja juu anataka mtoto wake nikamwekea advocate akashinda kesi mtoto akabaki naye mpka sasa habari mbaya ana kansa ya ziwa nampa kampani ya kutosha sana japo mambo ya mgegedo siko naye kabisa
Masihara hata bro,, ni kweli mgegedo haupo haupo nae sawa?
 
...
20180812_211615.jpg
 
Back
Top Bottom