Mzaramo na Msukuma hawataelewana. Hata wiki hawatamaliza. Mila zao tofauti sana !!!Inabidi tu aisee [emoji23] [emoji23] ntamwambia azidshe maombi ili itimie
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Angalia bro. Utapachikwa ushamba usiokuhusu...
Mzaramo na Msukuma hawataelewana. Hata wiki hawatamaliza. Mila zao tofauti sana !!!
[emoji23] [emoji23]Sredi zingine bana. Wanawake kujidhalilisha tu !!!
Le Mutuz naye ni Msukuma?Wewe na nduguzako wasukuma mtapata tabu sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 834020
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitaupitia kesho wacha nigonge likes kwanza na nitafute pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bhasi mm sio msukuma bhana,,, ila napenda kushow love tu kwa wasukuma maana wako poa na ni wakarimu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu wala siko huko ujue?
Gudi answa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumeamua kupambana na Wazaramo. Hata kama ni kukata mauno tutajaribu. Hata kama ni kubwabwaja. Liwalo na liwe [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Kazaramo katafuletiHahaha,,, tulia wewe siku hyo itakuwa kama hvView attachment 834022
Mbona umeguna?Mh!!
Huyu andaten nmeshamwambia lkn bado anakomaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia bro. Utapachikwa ushamba usiokuhusu...
Wazaramo wanang'atana nini? [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Huku ni kusababishiana dehydration[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nyie bhana mnang'atana hadi midomoView attachment 834026