Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Le Mutuz naye ni Msukuma?

Wazaramo tabu yenu bado inapikwa
Hivi huyo ni le kokobanga eeh??
Nasema hivii wasukuma mtapata tabu sana humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
tapatalk_1533568302507.jpeg
 
UNAAMBIWA hivi, mpira pesa. Ukitaka kufahamu hilo, tazama usajili wa wachezaji unavyofanyika duniani kwa sasa, wachezaji wote wazuri kuwapata ni lazima utumie pesa nyingi kweli kweli.

Huko Ulaya, pesa inamwagwa tu, si kwenye Ligi Kuu England, La Liga, Ligue 1 wala kwenye Serie A, mpira umehamia kwenye pesa na hiyo ndiyo inayoonekana kuwa njia sahihi ya kuwa mshindani kwenye soka la kisasa.
 
Makocha, mashabiki na wachambuzi wa soka wamekuwa wakilalamika kila siku kwamba siku hizo usajili wa wachezaji imekuwa biashara inayotia kichaa. Maisha ndivyo walivyokimbia kwa kasi kiasi hicho.

Lakini, unahitaji nini tena, ukiwa na pesa na kuwa na kikosi kama hiki, ubingwa gani utakupita na usiubebe? Hiki hapa Kikosi cha Kwanza ghali zaidi duniani kwa sasa, na wachezaji wote wamegharimu pesa ndefu, Pauni 1.09 bilioni.
 
Kipa- Pauni 71.6 milioni

Habari ndiyo hiyo, kuna kipa amesajiliwa kwa Pauni 71.6 milioni. Dunia kwa sasa imebadilika, Pauni 71.6 milioni ilikuwa pesa inanyoweza kusajili washambuliaji, lakini kwa sasa inatumika kumsajili kipa.

Chelsea walivunja rekodi ya dunia kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi huko Ulaya wakati walipomnasa kipa Kepa Arrizabalaga kutoka Athletic Bilbao kwa uhamisho wa Pauni 71.6 milioni. Pesa hiyo pengine itakaa kwa muda mrefu sana isivunjwe kwa miaka ya karibuni, labda hadi hapo David De Gea atakapoamua kuachana na Manchester United. Hata hivyo, Kepa alikuwa kipa mwingine kusajiliwa kwa pesa nyingi kwenye dirisha hilo la majira ya kiangazi kwani mwanzoni tu, Liverpool, walilipa Pauni 67 milioni kumnasa kipa wa Kibrazili, Alisson Becker kutoka AS Roma.
 
Mabeki wa kati- Pauni 133.5 milioni

Ligi Kuu England ndiyo inayomiliki rekodi ya kuwa na mabeki wa kati ghali zaidi duniani kwa sasa. Jambo hilo limekuja baada ya Liverpool kuamua kulipa Pauni 75 milioni kunasa huduma ya beki wa Kidachi, Virgil van Dijk kutoka Southampton kwenye dirisha la usajili lililofanyika Januari mwaka huu.
 
Wakati kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akivunja rekodi hiyo ya dunia kwa kunasa beki kwa pesa nyingi, mwenzake Pep Guardiola wa Manchester City naye alifanya usajili mkubwa kweli kweli kwenye dirisha hilo hilo la Januari wakati alipomnasa Aymeric Laporte kwa Pauni 58.8 milioni. Mabeki hao wawili wa kati wa Liverpool na Liverpool ndio walionaswa kwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa na rekodi yao ingevunjwa kama Manchester United wangefanikiwa kwenye usajili wao wa kumnasa Raphael Varane wa Real Madrid, ambapo iliripotiwa Man United ilikuwa tayari kulipa Pauni 100 milioni.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bhasi mm sio msukuma bhana,,, ila napenda kushow love tu kwa wasukuma maana wako poa na ni wakarimu sana
Thanks bro...

Ndo maana nimesema hapo juu kuwa Msukuma na Mzaramo hat wiki hawatamaliza...Baada ya bashasha za kuzungusha viuno kwisha then there is nothing to offer....Msukuma atabwaga manyanga tu
 
Back
Top Bottom