Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

..
20180812_220251.jpg
 
Nikiandika hapa hutafurahia [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji120][emoji120][emoji120]
Mzaramo anachamba weweeeee akianza kuongea hamalizi mpaka sauti iiishe

Msukuma hasira juu anaweza rusha ngumi ,mzaramo chini akikwepa basi anaibukia uvunguni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
UNAAMBIWA hivi, mpira pesa. Ukitaka kufahamu hilo, tazama usajili wa wachezaji unavyofanyika duniani kwa sasa, wachezaji wote wazuri kuwapata ni lazima utumie pesa nyingi kweli kweli.

Huko Ulaya, pesa inamwagwa tu, si kwenye Ligi Kuu England, La Liga, Ligue 1 wala kwenye Serie A, mpira umehamia kwenye pesa na hiyo ndiyo inayoonekana kuwa njia sahihi ya kuwa mshindani kwenye soka la kisasa.
 
Makocha, mashabiki na wachambuzi wa soka wamekuwa wakilalamika kila siku kwamba siku hizo usajili wa wachezaji imekuwa biashara inayotia kichaa. Maisha ndivyo walivyokimbia kwa kasi kiasi hicho.

Lakini, unahitaji nini tena, ukiwa na pesa na kuwa na kikosi kama hiki, ubingwa gani utakupita na usiubebe? Hiki hapa Kikosi cha Kwanza ghali zaidi duniani kwa sasa, na wachezaji wote wamegharimu pesa ndefu, Pauni 1.09 bilioni.
 
Kipa- Pauni 71.6 milioni

Habari ndiyo hiyo, kuna kipa amesajiliwa kwa Pauni 71.6 milioni. Dunia kwa sasa imebadilika, Pauni 71.6 milioni ilikuwa pesa inanyoweza kusajili washambuliaji, lakini kwa sasa inatumika kumsajili kipa.

Chelsea walivunja rekodi ya dunia kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi huko Ulaya wakati walipomnasa kipa Kepa Arrizabalaga kutoka Athletic Bilbao kwa uhamisho wa Pauni 71.6 milioni. Pesa hiyo pengine itakaa kwa muda mrefu sana isivunjwe kwa miaka ya karibuni, labda hadi hapo David De Gea atakapoamua kuachana na Manchester United. Hata hivyo, Kepa alikuwa kipa mwingine kusajiliwa kwa pesa nyingi kwenye dirisha hilo la majira ya kiangazi kwani mwanzoni tu, Liverpool, walilipa Pauni 67 milioni kumnasa kipa wa Kibrazili, Alisson Becker kutoka AS Roma.
 
Back
Top Bottom