carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Naenda break nitarudi kusoma majibu[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sasa mbio za nini tena?[emoji16]
Nakuja hapo ulipo ili nikuimbishe kwa karibu! [emoji1][emoji1]
Tunapambana na Kazaramo aisee. Tunahitaji maombi yenu wanauzi. Tukisalimika bahati yetu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wazaramo kwa kuongea dah. Charahani cha mtoto. Kwa wapenda amani kama mimi aisee siwezi kabisa. Nitakwenda jela bure tu [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Mzaramo anachamba weweeeee akianza kuongea hamalizi mpaka sauti iiishe
Msukuma hasira juu anaweza rusha ngumi ,mzaramo chini akikwepa basi anaibukia uvunguni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona upon unamback up andaten mwenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji91][emoji91]Kamua baba kamua baba[emoji445][emoji445]
Kamua baba usitumie hirizi[emoji445][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
Wazaramo kwa kuongea dah. Charahani cha mtoto. Kwa wapenda amani kama mimi aisee siwezi kabisa. Nitakwenda jela bure tu [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Naona somo lishaeleweka hapa[emoji23][emoji23]
HahahahaGudi answa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Carba vs ya buyenze
Carba vs ningendako
Carba vs uzinduzi(poti)
Carba ni nomaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]