Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabeki wa kati- Pauni 133.5 milioni

Ligi Kuu England ndiyo inayomiliki rekodi ya kuwa na mabeki wa kati ghali zaidi duniani kwa sasa. Jambo hilo limekuja baada ya Liverpool kuamua kulipa Pauni 75 milioni kunasa huduma ya beki wa Kidachi, Virgil van Dijk kutoka Southampton kwenye dirisha la usajili lililofanyika Januari mwaka huu.
 
UNAAMBIWA hivi, mpira pesa. Ukitaka kufahamu hilo, tazama usajili wa wachezaji unavyofanyika duniani kwa sasa, wachezaji wote wazuri kuwapata ni lazima utumie pesa nyingi kweli kweli.

Huko Ulaya, pesa inamwagwa tu, si kwenye Ligi Kuu England, La Liga, Ligue 1 wala kwenye Serie A, mpira umehamia kwenye pesa na hiyo ndiyo inayoonekana kuwa njia sahihi ya kuwa mshindani kwenye soka la kisasa.
 
Hivi huyo ni le kokobanga eeh??
Nasema hivii wasukuma mtapata tabu sana humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 834033
Unajua maana yake hii? Unataka nikufafanulie? Unajua keki asilia ya Wazaramo ilikuwa ni nini? [emoji116][emoji116][emoji116]

445739939_242090.jpg
 
Carba vs ya buyenze

Carba vs ningendako

Carba vs uzinduzi(poti)

Carba ni nomaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunapambana na Kazaramo aisee. Tunahitaji maombi yenu wanauzi. Tukisalimika bahati yetu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee,, kwa hyo huyo samaki ndio ndafu (kwa wachaga hii) [emoji23] [emoji23]
Kama Wachaga wanaweka mbuzi mzima sioni kwa nini hawa Wasukuma walioamua kuwa unique na kutumia samaki iwe ushamba? Kule Brazil kuna wanaotumia vyura. Keki ni nini? Ni lazima iwe ya Kizungu? Waafrika sisi aliyeturoga kafa !!!
 
Kama Wachaga wanaweka mbuzi mzima sioni kwa nini hawa Wasukuma walioamua kuwa unique na kutumia samaki iwe ushamba? Kule Brazil kuna wanaotumia vyura. Keki ni nini? Ni lazima iwe ya Kizungu? Waafrika sisi aliyeturoga kafa !!!
Unajua kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom