Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji mahiri wa Ureno, Cristiano Ronaldo jana alifungua akaunti yake ya mabao kwenye timu yake mpya ya Juventus, baada ya kufunga bao murua katika mchezo wake wa kwanza.

Juventus ilikuwa ikicheza na kikosi chao cha vijana chini ya miaka 20 na kuifunga kwa mabao 5-0, mchezo huo ulichezwa kwenye uwanja wa Agnelli, ulio kwenye viwanja vya Villar Perosa.

Ronaldo, mwenye miaka 33 aliyejiunga na Juve akitokea Real Madrid mwezi uliopita licha ya kuanza mazoezi tangu Julai 30 hakupata kucheza mchezo wowote wa kirafiki kati ya ile ambayo timu hiyo ilicheza ikiwa ziarani Marekani.
 
Katika mchezo huo Ronaldo alianza kwa kufunga bao la kwanza katika dakika ya nane akiupeleka mpira juu ya kipa Leonardo Loria, kabla ya kashikashi zake kumfanya Riccardo Capellini dakika 10 baadaye.

Mchezaji Paulo Dybala aliifungia timu hiyo bao la tatu na la nne dakika ya 31 na 40 na Claudio Marchisio akahitimisha ushindi kwa bao la dakika ya 53.

Hata hivyo mchezo huo ilibidi uvunjike kabla ya wakati kutokana na msshabiki karibu 5,000 waliohudhuria kuvamia uwanja wakishangilia na kutaka kusaliamiana na wachezaji katika dakika ya 72.
 
Mshambuliaji Leonardo Bonucci, aliyerejea Juve wiki mbili zilizopita baada ya kuichezea AC Milan msimu uliopita, Emre Can, aliyetokea Liverpool, walianza huku mkongwe Mario Mandzukic, Sami Khedira na Miralem Pjanic wakianzia benchi.

Ronaldo anatarajiwa kuanza kuitumikia Juventus katika Ligi Kuu ya Italia Jumamosi ijayo katika mchezo dhidi ya Chievo Verona.

Mshambuliaji huyo baadaye aliandika katika akaunti yake ya Twitter, akiwashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa sapoti wanayompa.
 
Happy mashoto's day wale wote wanaotumia mkono wa kushoto
andjul muzee ya fenesi
SHIMBA YA BUYENZE mzee wa slap it and watch it vaibrate
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Ahsante shemeji yangu mzuri. Kwema?

Nimeujaribu kushikia fenesi, Mungu ni mwema bado una nguvu kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Miongoni mwa watu mashuhuri wanaotumia au waliotumia mkono wa kushoto:
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Mwanamfalme William wa Uingereza
Msanii Angelina Jolie
Mwanasayansi Albert Einstein
Mwigizaji Tom Cruise
Mwanamuziki David Bowie
Mwanariadha Paula Radcliffe
Mwanakandanda Pele
Mwanaanga za juu Neil Armstrong
Mwanasayansi Marie Curie
Bondia Manny Pacquiao
Mwanaviwanda Henry Ford
Mwanamuziki Justin Bieber
Mwanamuziki Lady Gaga
Mwanamuziki Marshall Bruce Mathers III maarufu kama Eminem
Mwanamuziki Paul McCartney
Mwigizaji Jennifer Lawrence
Mwanafalsafa Aristotle
Mvumbuzi na mchoraji Leonardo Da Vinci
Mfanya biashara ya maparachichi andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hongera mkuu! Mie ukishakuwa EX nadelete file lako kabisa ....[emoji23]
Inategemea mmeachanaje.
Hata mimi wapo hata salamu hatuna, lakini wapo wengine nimekuwa rolo modo wao, muda mwingi wanataka muongozo kutoka kwangu, yaliyo pita tumesameheana, tumekuwa ndugu kwenye urafiki.Hawanidharau kwa kipato chao na hatukutani wote watatu kwa pamoja, kila mmoja kwa wakati wake.
Mwanamke havunji moyo kwenye maamuzi ya kujilipua kwenye uwekezaji
 
Inategemea mmeachanaje.
Hata mimi wapo hata salamu hatuna, lakini wapo wengine nimekuwa rolo modo wao, muda mwingi wanataka muongozo kutoka kwangu, yaliyo pita tumesameheana, tumekuwa ndugu kwenye urafiki.Hawanidharau kwa kipato chao na hatukutani wote watatu kwa pamoja, kila mmoja kwa wakati wake.
Mwanamke havunji moyo kwenye maamuzi ya kujilipua kwenye uwekezaji
Oooh! Nimekuelewa....
 
Back
Top Bottom