Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446506044_244254.jpg
 
Kabsa,, sasa itokee mmeachana vile bado kutakuwa kuna mawasiliano??

Hakuna tena mawasiliano wala kupigana tafu,,, ila kama mmeachana roho safi tu,,, aah hyo haina shida hata kwenye harusi yake utahudhuria tu.
Usemayo ni kweli !
Lakini kwa upande wangu kuhudhuria harusi yake hapana kwakweli na hata tukiwa na mawasiliano mazuri baada ya kuachana akishaoa sitaki mawasiliano nae tena..Sitajenga chuki kwake ila tu nafunga kurasa.
 
Zaidi ya watu 35 milioni wanaoishi ukanda wa bonde la Ziwa Victoria katika mataifa ya Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan, Ethiopia na Misri wanaaminika kujihusisha na shughuli za uvuvi ndani ya ziwa hilo ambalo ni chanzo cha Mto Nile unaomwaga maji yake ndani ya Bahari ya Mediterranean, umbali wa zaidi ya maili 4, 000.
 
Bonde la Ziwa Victoria lenye ukubwa wa kilomita za mraba 68, 800 ndilo bonde kubwa kuliko yote barani Afrika na linashika nafasi ya pili duniani nyuma ya Bonde la Superior la Amerika Kaskazini.

Bonde hili ni kati ya maeneo muhimu na ya kimkakati kiuchumi kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupitia sekta za uvuvi, usafirishaji, utalii na kilimo cha umwagiliaji.

Shughuli hizo zinafanyika ndani na kwenye mwambao wa Ziwa Victoria lililo futi 3, 726 kutoka usawa wa bahari.
 
Kwa mujibu wa mgawo wa Kimataifa, Tanzania inamiliki sehemu kubwa ya Ziwa Victoria ikiwa na asilimia 51 ikifuatiwa na Uganda inayomiliki asilimia 43 huku Kenya ikiwa na asilimia sita ya ziwa lote.

Utajiri na rasilimali inayopatikana ndani ya Ziwa Victoria ni miti mingi iliyo ndani ya bonde lake na samaki na maji baridi.
 
Mikoa iliyoko ndani ya bonde la Ziwa Victoria kwa upande wa Tanzania ni Mwanza, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita na Kagera.

Mito mikubwa ya Kagera, Simiyu, Mbarageti, Gurmeti, Rubana, Mara na mto Mori inamwaga maji yake ndani ya Ziwa Victoria na hivyo kuwa miongoni mwa sehemu ya uhai wa ziwa hilo.
 
Hata hivyo, uwingi wa shughuli za kibinadamu ndani ya ziwa lenyewe na katika bonde lake zinatishia si tu uhifadhi wa mazingira, bali pia upatikanaji na kiwango cha maji ndani ya ziwa na chini ya ardhi katika eneo lote la bonde la Ziwa Victoria.

Athari ya shughuli za kibinadamu

Uchimbaji holela wa visima vifupi na virefu vya maji pamoja na mabwawa ni miongoni mwa shughuli za kibinadamu zinazotishia uhai wa bonde na ziwa lenyewe.

Kwa mujibu wa Tovuti Kuu ya taarifa za Serikali (www.opendata.go.tz), hadi Novemba 2016 kulikuwa na zaidi ya visima 100 mikoa ya Mwanza, Mara na Kagera pekee.
 
Usemayo ni kweli !
Lakini kwa upande wangu kuhudhuria harusi yake hapana kwakweli na hata tukiwa na mawasiliano mazuri baada ya kuachana akishaoa sitaki mawasiliano nae tena..Sitajenga chuki kwake ila tu nafunga kurasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmesema tu nisikie maoni yako,,, sidhani kama kuna watu wa namna hii.
 
Back
Top Bottom