Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180813_131701_204.JPG
 
Bro unapashana sana viporo eeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nina viporo viwili tu bro. Kimoja cha ugali (tena ule mgumu wa Kisukuma) na kingine cha pilau. Hivi viporo aisee ni timeless havichachi na jinsi muda unavyoenda ndo vinazidi kuwa vitamu na ladha kuongezeka.

We bro hujawahi kuonja kiporo hata mara moja?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee jibu mubashara hili,,,ulivyoruka bro hatari sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hcho cha pilau kipo poa sana

Huwa natumia viporo bro hahaha kiporo hiki hiki sio kiporo kingine
 
Welcome home kamanda. Kazi uliyotumwa umeimaliza. Ila tu ukihama shutuma zako za ufisadi zinaanza upya. Mwanahalisi la kamanda Kubenea bado lipo ohoo. Siasa yaani duh !!!

View attachment 834513
Nimeangalia hapo ilikuwa 2011,, lkn baada ya miaka 4,akawa msafi!
Siasa mchezo mchafu sana
 
Back
Top Bottom