[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], uwiiiii!Ukijikuna tako usikate kucha kwa meno[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna situmiii mashotonna wasiwasi na wewe pia😀😀😀
Kua uyaone.Hivi unawezaje kuwa na urafiki na ex wako?
Hongera mkuu! Mie ukishakuwa EX nadelete file lako kabisa ....[emoji23]Kua uyaone.
Maisha ya sasa (kuna muda wazo la maendeleo nalipata kwa X wangu) hatuhitaji kuwa na maadui wa kudumu.
Ahsante shemeji yangu mzuri. Kwema?Happy mashoto's day wale wote wanaotumia mkono wa kushoto
andjul muzee ya fenesi
SHIMBA YA BUYENZE mzee wa slap it and watch it vaibrate
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Mfanya biashara ya maparachichi andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23]Miongoni mwa watu mashuhuri wanaotumia au waliotumia mkono wa kushoto:
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Mwanamfalme William wa Uingereza
Msanii Angelina Jolie
Mwanasayansi Albert Einstein
Mwigizaji Tom Cruise
Mwanamuziki David Bowie
Mwanariadha Paula Radcliffe
Mwanakandanda Pele
Mwanaanga za juu Neil Armstrong
Mwanasayansi Marie Curie
Bondia Manny Pacquiao
Mwanaviwanda Henry Ford
Mwanamuziki Justin Bieber
Mwanamuziki Lady Gaga
Mwanamuziki Marshall Bruce Mathers III maarufu kama Eminem
Mwanamuziki Paul McCartney
Mwigizaji Jennifer Lawrence
Mwanafalsafa Aristotle
Mvumbuzi na mchoraji Leonardo Da Vinci
[emoji3] [emoji3]Kua uyaone.
Maisha ya sasa (kuna muda wazo la maendeleo nalipata kwa X wangu) hatuhitaji kuwa na maadui wa kudumu.
Hongera mkuu! Mie ukishakuwa EX nadelete file lako kabisa ....[emoji23]
Sio uadui ndio, lakini huwa sioni haja ya kuendelea kuwasiliana na EXHasira hasira, kuachana si uadui
[emoji23]jamaniiiiiiAhsante shemeji yangu mzuri. Kwema?
Nimeujaribu kushikia fenesi, Mungu ni mwema bado una nguvu kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inategemea mmeachanaje.Hongera mkuu! Mie ukishakuwa EX nadelete file lako kabisa ....[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi kazi yake maalum mkono wa kushoto ukiacha kuchambia ni ipi?[emoji23]jamaniiiiii
Kwani na nyie mnaotumia mashoto huwa mwachambia mashoto???[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi kazi yake maalum mkono wa kushoto ukiacha kuchambia ni ipi?
Oooh! Nimekuelewa....Inategemea mmeachanaje.
Hata mimi wapo hata salamu hatuna, lakini wapo wengine nimekuwa rolo modo wao, muda mwingi wanataka muongozo kutoka kwangu, yaliyo pita tumesameheana, tumekuwa ndugu kwenye urafiki.Hawanidharau kwa kipato chao na hatukutani wote watatu kwa pamoja, kila mmoja kwa wakati wake.
Mwanamke havunji moyo kwenye maamuzi ya kujilipua kwenye uwekezaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], uwiiiii!
Aisee!!! Inategemea na huyo ex wako mliachana vp mzeeKua uyaone.
Maisha ya sasa (kuna muda wazo la maendeleo nalipata kwa X wangu) hatuhitaji kuwa na maadui wa kudumu.
Kuna wengine wanaachana vibaya, na kuwekeana viapo vya ajabu ajabu.Aisee!!! Inategemea na huyo ex wako mliachana vp mzee