Kama ana pesa anaweza kuondoa hilo fenesi na kuweka kitumbua watu waanze kujipakulia. Kwa sasa kimsingi ni shoga tu hana loloteKabadili muonekano wa nje tu, fenesi liko pale pale...Teh!
ingekua tafiti za kweli usingeficha kipara chako kwenye pama. hahahaaaAcha bhasi mkuu,,, maana na kofia language la pama hapa,, nataka nilitoe nibaki na upaa wangu
Laana tuKama ana pesa anaweza kuondoa hilo fenesi na kuweka kitumbua watu waanze kujipakulia. Kwa sasa kimsingi ni shoga tu hana lolote
Watu wanauza mpaka ARV na dawa za Malaria feki bila kujali wenzao. Pesa mama, pesaduuuh dunia sijui inaenda wapi. kila kona kuna mabalaa
Aisee! Watu wamekuwaje lakini?
jamani hizi pesa sasa. halafu pesa za njia haramu hata hazifiki kokoteWatu wanauza mpaka ARV na dawa za Malaria feki bila kujali wenzao. Pesa mama, pesa
Ukienda kuoga unakutana na utelezi wa hatari,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sekondari huko mabwenini na mabafuni testosterone inakukurika mishipani aisee ni kazi. Those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha acha kunikosesha ngekewa bhana,, mm nalitupa kuanzia Leo,,, kesho ni mwendo wa kichwa wazi tu tena najipitsha ofs zle zenye Watt waukwel hahaingekua tafiti za kweli usingeficha kipara chako kwenye pama. hahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mlikuwa mwamaliza huko huko?Ukienda kuoga unakutana na utelezi wa hatari,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee hata sijui bhana,,, em chek alivyomuharbu binti wa watu kwa kiasi cha hyo pesaAisee! Watu wamekuwaje lakini?
sema uwalaza ni kama kitambi. watu wenye vitu hivyo hufikiriwa wana hela sana. so hapo ni pesa mbele sio mapenzi tele.Hahaha acha kunikosesha ngekewa bhana,, mm nalitupa kuanzia Leo,,, kesho ni mwendo wa kichwa wazi tu tena najipitsha ofs zle zenye Watt waukwel haha
Hata kama ni pesa kubwa huwezi mfanya mwenzio hivyo kiasi cha kumtoa roho tena mkewe kabisa... Afadhari angemuomba airudishe tu..Aisee hata sijui bhana,,, em chek alivyomuharbu binti wa watu kwa kiasi cha hyo pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwalimu bhana sasa haya maswali ya kuuliza kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mlikuwa mwamaliza huko huko?
Tafiti hazidangany mkuuHaahaa!
Sasa huo utelezi ulikuwa watoka wapi??[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwalimu bhana sasa haya maswali ya kuuliza kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui kwakweli, labda.Tafiti hazidangany mkuu
Kweli kabsa,, nasikia mwanaume kwenye kitambi hata akienda ukweni anapewa respect ya maana tofauti na kimbaumbau,,, hata akienda baadhi ya ofisi lazma achangamkiwesema uwalaza ni kama kitambi. watu wenye vitu hivyo hufikiriwa wana hela sana. so hapo ni pesa mbele sio mapenzi tele.