andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nina miaka miwili sijafika Matema, sina uhakika kama imesha tengenezwa kufikia muonekano huo. Nsalaga naweza kusema ni ngumu kuwa na nafasi yenye maji mengi kiasi hicho.Wadau wanasema hyo ni Matema wengine wanadai ni Nsalaga
Kuna machimbo ya mawe, dampo la taka na ni makazi ya watu. Kuna mlima wa Kawetere na mlima nyoka.... Sijui lakini...