Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
hii tafiti itakua ya twaweza. hahahaaWazee wa upara,, OyeeeeView attachment 834724
Sijawahi ona eneo kama hili Mbeya, labda kama wilayani nje ya jijiNimeambiwa eti hili eneo lipo Mbeya,,, wakuu mliowahi kufika mbeya eneo hl linaitwaje??
Cc Pyaar, AndjulView attachment 834499
Hahaha kwa hyo ni uongo eehhii tafiti itakua ya twaweza. hahahaa
kwa mimi binafsi hapana na sijasikia hata kwa ninao wajua wakisifia vipara. hahahaaaaHahaha kwa hyo ni uongo eeh
Wadau wanasema hyo ni Matema wengine wanadai ni NsalagaSijawahi ona eneo kama hili Mbeya, labda kama wilayani nje ya jiji
Hahahahha si kweli bhana,, hii tafiti ni kweli,,kwa mimi binafsi hapana na sijasikia hata kwa ninao wajua wakisifia vipara. hahahaaaa
Duh! Mungu asaidie kwakweli..
Mtoto tayari automatically ni raia wa Marekani (kama atataka). Hii itamsaidia kwa shule na mambo mengineyo kama matibabu...
hahahaa tafiti feki hii.Hahahahha si kweli bhana,, hii tafiti ni kweli,,
duuuh dunia sijui inaenda wapi. kila kona kuna mabalaa
Acha bhasi mkuu,,, maana na kofia language la pama hapa,, nataka nilitoe nibaki na upaa wanguhahahaa tafiti feki hii.
Sekondari huko mabwenini na mabafuni testosterone inakukurika mishipani aisee ni kazi. Those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]