Nina miaka miwili sijafika Matema, sina uhakika kama imesha tengenezwa kufikia muonekano huo. Nsalaga naweza kusema ni ngumu kuwa na nafasi yenye maji mengi kiasi hicho.Wadau wanasema hyo ni Matema wengine wanadai ni Nsalaga
hahahaa na wengi ni matapeli. hata bank wanaheshimika kwenye kukopa kumbe viriba tumbo tu.Kweli kabsa,, nasikia mwanaume kwenye kitambi hata akienda ukweni anapewa respect ya maana tofauti na kimbaumbau,,, hata akienda baadhi ya ofisi lazma achangamkiwe
Hahaha akiri za kuambiwa changanya na zako bhana hahahSasa huo utelezi ulikuwa watoka wapi??[emoji23]
Aisee!!! AY ni mchanganyiko wa Mwakaleli na mnyarwanda,kaoa mnyarwanda.
Shukran mzee kwa maelezo mazuri,, bhasi inaweza kuwa ni Matema kweli imetengenezwa hadi kufikia hvyoNina miaka miwili sijafika Matema, sina uhakika kama imesha tengenezwa kufikia muonekano huo. Nsalaga naweza kusema ni ngumu kuwa na nafasi yenye maji mengi kiasi hicho.
Kuna machimbo ya mawe, dampo la taka na ni makazi ya watu. Kuna mlima wa Kawetere na mlima nyoka.... Sijui lakini...
Hahahaha aisee,,, wenye vitambi wasiione hii wallahhahahaa na wengi ni matapeli. hata bank wanaheshimika kwenye kukopa kumbe viriba tumbo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenifanya nicheke kwa sauti.Aisee!!! AY ni mchanganyiko wa Mwakaleli na mnyarwanda,kaoa mnyarwanda.
Mnyarwanda na mwakaleli wamezaa mtoto Mmarekani...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] acha nikakae kikao na Msukuma wangu, tupate last born hata akiwa(hiyo gharama ya Yuesiei atataka tununulie ng'ombe badala ya kwenda huko) Mkenya poa tu.
[emoji23][emoji23], mbayuwayuHahaha akiri za kuambiwa changanya na zako bhana hahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23], mbayuwayu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa huo utelezi ulikuwa watoka wapi??[emoji23]
Kwema, habari ya roki site?Shukran mzee kwa maelezo mazuri,, bhasi inaweza kuwa ni Matema kweli imetengenezwa hadi kufikia hvyo
Kwema lkn?
Hamna namna, na mimi nataka kwenye familia kuwepo na mtoto anayeishi Tanzania kwa kibali maalum [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenifanya nicheke kwa sauti.
[emoji23][emoji23][emoji23], mtoto wa uzeeniHamna namna, na mimi nataka kwenye familia kuwepo na mtoto anayeishi Tanzania kwa kibali maalum [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu siku ya siku umtenganishe mama na mwanae Nkwabi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mtoto wa uzeeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu siku ya siku umtenganishe mama na mwanae Nkwabi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23]Nasoma tu humu mara, Matema/Nsalaga; Ndio wapi huko? [emoji1]