Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bonde la ufa
FB_IMG_1532293604000.jpg
 
Komaanayo tu mzee wangu,,, hyo biashara iko vzr sana[emoji23] [emoji23]
Biashara hii ni nzuri sana ukiijulia. Muhimu parachichi lisiwe lina lainika mapema likiiva.Stimulus huwa tunaagiza Congo, ukisha aplai hiyo, akha mambo yanakuwa mswano tu... Wewe ni kulizungusha tu parachichi, hata ufanyaje linabaki na ugumu wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kuishi Dar
 
_*Usitudharau shemeji zako maana sisi ndio tunajua kama utaolewa au unachezewa*_[emoji3][emoji1549]‍♂[emoji1549]‍♂[emoji1549]‍♂
*****************************
Halafu hawa mashemeji huwa wanafiki kweli...Shemeji shemeji nyingiii ....Shwainiiii kabisa
 
Back
Top Bottom