Wee si janaume wewe!!! Ule parachichi langu? Unakichaa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi sana Mkuu! Nitazuka siku moja Nsalanga kula maparachichi ya ukweli! [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Prof bana naye sometimes anazingua eeeh!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwalimu bhana sasa haya maswali ya kuuliza kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilimshangaa pia...nae anataka kuwa mwanaume wa Ndarisalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee si janaume wewe!!! Ule parachichi langu? Unakichaa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siuzii wanaume hata...
Karibu mkuu, kuna sehemu nyingi za kutembelea. Unaweza kuanzia sehemu ilipopita barabara juu ya usawa wa bahari kuliko sehemu yoyote Afrika Mashariki. Chanzo cha mto Ruaha (maji mazuri), gereza lililo tumika kuwafunga Walibya kipindi cha vita vya Kagera (temperature ni 3•c to 11•c),sehemu hiyo inajulikana kama Kawetere,shule ya sekondari Iyunga aliyo soma Anderson(alikuwa barozi wa Usa nchini hapa miaka ya 90),F. D. Crerk aliye kuwa rais wa SA kabla ya Mandela,n.k.
Rungwe kuna:-mlima Rungwe, Ziwa Ikisibha, daraja la Mungu, machimbo ya gesi, makazi ya Mwandosya na Mwandosya mwenyewe, shule ya mkoloni Tukuyu ambayo wamesoma viongozi wengi.
Kyela kuna:-Ngonga beach, Matema beach, volkano hai(maji ya moto), makazi ya Mwamunyange, makazi ya muuza parachichi na mambo mengine meeengi....
Tushaiona tukakausha tu bro....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha aisee,,, wenye vitambi wasiione hii wallah
Nkwabi - Mtafutaji. Jina zuri sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Halafu siku ya siku umtenganishe mama na mwanae Nkwabi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Infwakti nisingeweza kupindishia huko bikauzi dhei donti kea kupotelewa vitu vya thamani. Dhei havu mane buanaa... Ingekuwa vyeti vya Kambliji au Edimbara univasite hapo sawa, angetupiamo tulawama na kujutia kwanini wezi hawakumuibia uhai wake wakaiba vyeti vya satifiketi ovu wati sijui huko[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahahhahahah! Afadhari ungepindisha kwa kina bhojo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Prof bana naye sometimes anazingua eeeh!?
Mikoani hivi sasa wapo juu kwenye suala zima la kutumia mtandao wa tiGo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wa mikoani hawana mikao ya kike kike hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23], mbwenu?Infwakti nisingeweza kupindishia huko bikauzi dhei donti kea kupotelewa vitu vya thamani. Dhei havu mane buanaa... Ingekuwa vyeti vya Kambliji au Edimbara univasite hapo sawa, angetupiamo tulawama na kujutia kwanini wezi hawakumuibia uhai wake wakaiba vyeti vya satifiketi ovu wati sijui huko[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nililisubilia sana kwa heshima ya babu yake, haijawezekana. Ni mipango ya Mungu, kila akitoacho ni kwa mapenzi yake. [emoji120] [emoji120]Nkwabi - Mtafutaji. Jina zuri sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yego codes bado zinamsumbua. Na Prof wake sijui bado anamfundisha mambo yaliyopitwa na wakati ya akina Euclid na Ptolemy. Maprof wengine pasua kichwa aisee...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilimshangaa pia...nae anataka kuwa mwanaume wa Ndarisalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona tumeenda nje ya mada.Mikoani hivi sasa wapo juu kwenye suala zima la kutumia mtandao wa tiGo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wee si janaume wewe!!! Ule parachichi langu? Unakichaa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siuzii wanaume hata...
Karibu mkuu, kuna sehemu nyingi za kutembelea. Unaweza kuanzia sehemu ilipopita barabara juu ya usawa wa bahari kuliko sehemu yoyote Afrika Mashariki. Chanzo cha mto Ruaha (maji mazuri), gereza lililo tumika kuwafunga Walibya kipindi cha vita vya Kagera (temperature ni 3•c to 11•c),sehemu hiyo inajulikana kama Kawetere,shule ya sekondari Iyunga aliyo soma Anderson(alikuwa barozi wa Usa nchini hapa miaka ya 90),F. D. Crerk aliye kuwa rais wa SA kabla ya Mandela,n.k.
Rungwe kuna:-mlima Rungwe, Ziwa Ikisibha, daraja la Mungu, machimbo ya gesi, makazi ya Mwandosya na Mwandosya mwenyewe, shule ya mkoloni Tukuyu ambayo wamesoma viongozi wengi.
Kyela kuna:-Ngonga beach, Matema beach, volkano hai(maji ya moto), makazi ya Mwamunyange, makazi ya muuza parachichi na mambo mengine meeengi....
Kaandaeitini kanajichanganya hovyo hovyo [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilimshangaa pia...nae anataka kuwa mwanaume wa Ndarisalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yego codes bado zinamsumbua. Na Prof wake sijui bado anamfundisha mambo yaliyopitwa na wakati ya akina Euclid na Ptolemy. Maprof wengine pasua kichwa aisee...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️