Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safi sana Mkuu! Nitazuka siku moja Nsalanga kula maparachichi ya ukweli! [emoji1]
Wee si janaume wewe!!! Ule parachichi langu? Unakichaa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siuzii wanaume hata...

Karibu mkuu, kuna sehemu nyingi za kutembelea. Unaweza kuanzia sehemu ilipopita barabara juu ya usawa wa bahari kuliko sehemu yoyote Afrika Mashariki. Chanzo cha mto Ruaha (maji mazuri), gereza lililo tumika kuwafunga Walibya kipindi cha vita vya Kagera (temperature ni 3•c to 11•c),sehemu hiyo inajulikana kama Kawetere,shule ya sekondari Iyunga aliyo soma Anderson(alikuwa barozi wa Usa nchini hapa miaka ya 90),F. D. Crerk aliye kuwa rais wa SA kabla ya Mandela,n.k.
Rungwe kuna:-mlima Rungwe, Ziwa Ikisibha, daraja la Mungu, machimbo ya gesi, makazi ya Mwandosya na Mwandosya mwenyewe, shule ya mkoloni Tukuyu ambayo wamesoma viongozi wengi.
Kyela kuna:-Ngonga beach, Matema beach, volkano hai(maji ya moto), makazi ya Mwamunyange, makazi ya muuza parachichi na mambo mengine meeengi....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilimshangaa pia...nae anataka kuwa mwanaume wa Ndarisalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahhahahah! Afadhari ungepindisha kwa kina bhojo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Infwakti nisingeweza kupindishia huko bikauzi dhei donti kea kupotelewa vitu vya thamani. Dhei havu mane buanaa... Ingekuwa vyeti vya Kambliji au Edimbara univasite hapo sawa, angetupiamo tulawama na kujutia kwanini wezi hawakumuibia uhai wake wakaiba vyeti vya satifiketi ovu wati sijui huko[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23], mbwenu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilimshangaa pia...nae anataka kuwa mwanaume wa Ndarisalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yego codes bado zinamsumbua. Na Prof wake sijui bado anamfundisha mambo yaliyopitwa na wakati ya akina Euclid na Ptolemy. Maprof wengine pasua kichwa aisee...[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 

Daa umemwaga madini hapo, hatari! Inaonekana ni sehemu nzuri kutembelea, hasa hapo kwenye Volkano hai! Asante kwa udandavuzi mzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…