Hii vita ni kubwa,,, kamwe haitakuja kuisha!!“Ni watu wangapi unaowafahamu ambao wamekuwa wakimpinga Sterling na kumbagua kwa sababu ya rangi yake," alihoji Wright.
Alisema suala la kupinga ubaguzi wa rangi ni kampeni inayomtaka kila mwanasoka kusimama kidete kuipinga pale anapoona ikifanyika lakini katika kadhia ya Raheem hakuona mchezaji yeyote aliyesimama na kumpigania kwa ubaguzi aliofanyiwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Chris Sutton, alisema anadhani athari za matokeo ya fainali za Kombe la Dunia zimeendelea kuwaathiri mashabiki wa soka nchini Uingereza bila kujali nafasi waliyoipata England kwenye fainali hizo.
Vipi umeisoma hyoo?? Jamaa na mpenzi wake wote mabwege sanaDuh!
Hawajielewi kwakweli (kama ni kweli)Vipi umeisoma hyoo?? Jamaa na mpenzi wake wote mabwege sana
Hii itakuwa chai tena chai ya mchai chai!!Hawajielewi kwakweli (kama ni kweli)
Afadhari hata huo mchai chai utakupa afya...Hii chai ngumu kumesa.Hii itakuwa chai tena chai ya mchai chai!!