Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Jamaa ni fala sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,kwan unaruhusu vp mawasiliano kati ya demu wako na ex wake lazma aliwe tuHuyu jamaa ni mfala sana,yaani unapeleka demu wako kwa ex yake wanaingia ndani halafu anakuja kukwambia kaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]